Baada ya kupata habari hiyo gazeti hili lilimtafuta Nay ili kuzungumzia sakata hilo ambapo alikiri kuzijua picha hizo lakini akashangaa ni nani aliyempenyezea umbeya mchumba’ke na kwamba ni kweli mama mtoto wake huyo alilia japokuwa alitumia nguvu kubwa kumweka sawa na sasa maisha yanaendelea.
Kwa upande wa Siwema alisema: “Nay amenipa maelezo juu ya picha hizo ingawa tulikuwa tumefikia pabaya sana kiasi cha kutaka kuondoka kwake lakini kanielewesha.
Article and photos courtesy
ALSO SEE
Sneak Peek At EMMY KOSGEI's Bedroom With Her Millionaire Husband ASELM MADUBUKO ...WOW, They Live Like Royals (PHOTOS)
ALSO SEE
Sneak Peek At EMMY KOSGEI's Bedroom With Her Millionaire Husband ASELM MADUBUKO ...WOW, They Live Like Royals (PHOTOS)
SEE PHOTOS HERE
Advertisemen